mussa assad

  1. GoldDhahabu

    Inawezekana hoja ya Profesa Assad ilikuwa na mashiko

    Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali. Nafikiri wafuatiliaji wa Habari wangali wakikumbuka. Profesa alisema kuwa asilimia sitini ya viongozi wa Serikali hawana uwezo mzuri...
  2. Erythrocyte

    CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG . Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika...
  3. Erythrocyte

    Prof. Mussa Assad atoa maoni yake kuhusu Ripoti ya CAG, asikitishwa na yanayoendelea

    Profesa Mussa Assad ameonyesha masikitiko yake kuhusiana na wezi wa mali ya umma wanaochekewa. Mussa Assad aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi ya CAG kwa mafanikio , na baadaye kuondolewa kinyume cha Katiba na John Magufuli aliyekasirishwa na kufichuliwa ubadhirifu wa kutisha wa Serikali yake, ni...
  4. B

    Prof. Mussa Assad ashinda ombi za zuio la kuwa mjumbe ktk Jopo la Wasuluhishi

    Jumanne, 22 Novemba 2022 THREE OIL COMPANIES LOCK HORNS AS EX-CAG REMAIN ARBITRATOR By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE High Court has refused to bar ex-Controller and Auditor General Prof. Mussa Assad from serving as an Arbitrator in pending arbitral proceedings between three giant petroleum...
  5. voicer

    Hukumu ya Assad, ili RichMond Mpya iingize mtambo Kimyakimya!

    Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati. Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.! Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge? Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini? Tuliambiwa Tatizo ni service ya...
  6. Chachu Ombara

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  7. JanguKamaJangu

    Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali. Amesema “Kuna namna...
  8. Q

    Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  9. seedfarm

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini. Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
  10. Analogia Malenga

    Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
  11. C

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  12. Robot la Matope

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014. BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA...
  13. O

    Ya Dr. Mwele Malecela na Prof. Mussa Assad

    Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela. Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima...
  14. S

    History will judge you as a man of honour Pof. Assad - Mwele Malecela

    While this is a truly dark cloud in our nation's history you have shown that people of integrity still exist and that you are one of them! History will judge you as a man of honour Prof Assad. #IStandWithCAG
Back
Top Bottom