Mustafa Haidi Makunganya Mkulo (born 26 September 1946) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kilosa constituency 2005–2015. He died on 3 May 2024.
Graduate of the University of London with an MBA degree and he has been the Minister of Finance up until 2012.
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema...
Inashangaza sana Waziri anachukua maoni ya kina Zungu na kuyapeleka kwenye baraza la mawaziri kuyajadili,kisha kuyarudisha tena bungeni wakayapitisha kwa kishindo bila huruma. Hii siyo roho ya kizalendo ni maumivu makubwa kwa watanzania wote wanaccm, wapinzani na wasio na vyama.
Waziri kwa...
Mbunge wa Kilosa Mustafa Mkulo ameibuka na kudai mbele ya mwenyekiti Pandu Kificho kaibiwa laptop ; mpaka sasa hajaipata.
Mpaka tunaenda mitambano. Bado juhudi za kupata laptop yake zimegonga mwamba.
source; mtanzania pg 5
Wana bodi,
Naamini wengi mnapajua Dumila. Mji huu upo katka wilaya ya Kilosa, jimbo linaloongozwa na Mustapha Mkulo.
Leo hii takriban saa moja lililopita Mhe. Mkulo amelazimika kukimbia kabisaaa (Namaanisha kukimbia) pale wananchi wa mji huu walipoanza kupaza sauti za kumzomea baada ya kutoa...
Habari za jioni wanajf, hatimae jioni hii kutoka bungeni Dodoma Mh Vicent Nyerere ametaja majina ya kampuni za nje za kukagua magari ambazo wamiliki wake wote ni Watanzania hivyo kuthibitisha kauli yake Waziri alilidanganya bunge:
Kwa upande mwingine Mh Deo Filikunjome amemtaja Mh Mkulo kuwa ni...
National Assembly Speaker Anne Makinda declared in the House yesterday that Finance Minister Mustafa Mkulo and his deputy, Pereila Ame Silima, have failed to answer a question on the success of privatisation policy.
She made the declaration after the two ministers had tried to avoid a...
Inakumbukwa kuwa mwaka jana mwezi wa tano kulikuwa na vuta nikuvute kati ya Mh. Zitto Kabwe na waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo. Katika mkutano wa hadhara mjini Mbeya, Zitto alielezea habari ya kufilisika kwa serikali na hata kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wake kwa wakati...
WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MHESHIMIWA MUSTAFA MKULO
Picha za chini ni city center yani ndo kwa dar,ni kuanzia NBC hadi Akiba,Huyo jamaa mbona jimbo lake halina maendeleo,inflation rate ipo juu,hivi anafanya nini cha umuhimu?
Waandishi Wetu
Mwananchi
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC), wakati ambao bodi hiyo ilikuwa ikisubiri kupokea ripoti ya ukaguzi uliofanywa na Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ukilenga...
According to East Africa la leo ambalo lina kichwa cha habari kinachosema hivi:
Some two years ago, Tanzanian investors interested in buying into the massive initial public offering of Kenya's largest mobile telecommunications company, Safaricom, were locked out by their country's regulations...
SECTION: ECONOMICS; No. 656
LENGTH: 400 words
HEADLINE: TANZANIA: Dubious loan for CCM
BODY:
About fifty contributors of Tanzania's National Provident Fund (NPF), a parastatal social security system, are considering whether to sue Horace Kolimba, the minister of state in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.