Taifa la Kenya lina jamii mchanganyiko.
Ila moja ya jamii ambayo ni ya kipekee sana ni Wasomali ambao kiuhalisi walijikuta wako Kenya kutokana na sababu za kikoloni. Ila baada ya Kenya kupata Uhuru 1963, Wasomali waliokuwa wanakaa maeneo ya Kaskazini walianzisha mkakati wa kijeshi kujitoa Kenya...