mustapha siyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jaji Kiongozi Siyani: Mahakama ni lazima itende haki vinginevyo wananchi watajichukulia sheria mkononi

    Jaji Kiongozi Mh Mustapha Siyani amewataka watumishi wa mahakama watende Haki kwani bila kufanya hivyo wananchi watajichukulia sheria mkononi akitolea mfano wa ongezeko la mauaji linalotokea nchini kwa sasa. Jaji Siyani alikuwa anaongea na watumishi wa mahakama wilayani Kondoa, Dodoma. Chanzo...
  2. B

    Kufanana na kutofautiana kwa Majaji Tiganga na Siyani

    Wawili hawa ni majaji ambao wote wameshughulika na kesi inayomhusu Mh. Mbowe na wenzake. Wote ni wateuliwa mahiri wa hayati Magufuli. Wote kwa maamuzi yao wameuacha ulimwengu wa haki ukiwa umepigwa butwaa. Kwa hakika hawajaonekana hadharani wenye kuyafagilia kwa dhati yao, maamuzi yoyote ya...
  3. Roving Journalist

    Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
  4. EINSTEIN112

    TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

    Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio...
  5. B

    Jaji Mustapha Siyani ataanza upya kusikiliza mapingamizi yaliyomfanya Jaji Elinaza kujitoa au anaendeleaje na kesi?

    Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote mbili alikubali kuwa hati ya mashtaka ina makosa lakini pamoja na kubaini makosa kwenye hati ya...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake kuanza kusikilizwa Ijumaa na Jaji Mustapha Siyani

    Kesi Na.16/2021, Makosa ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake 3, itaanza kusikilizwa Ijumaa ya wiki hii, katika Mahakama Kuu, Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. Kesi hiyo, itasikilizwa na Jaji Mustapha Siyani.
Back
Top Bottom