Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not...
Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na...
Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna kosa sana Watangazaji aina ile.
Watatangazi wetu ni weupe sana hata aina ya vipindi vyao tu ni...
Mahakama Kuu imeidhinisha matumizi ya nguvu za Kijeshi kurejesha utulivu kufuatia Siku kadhaa za Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha ambapo takriban watu 20 wameripotiwa kuuawa
Jaji wa Mahakama Kuu, Lawrence Mugambi alisema kupelekwa kwa Jeshi Mitaani ni muhimu ili kulinda miundombinu ya...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa wazi.👇👇
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini Muswada wa Matumizi ya Pesa za Bajeti...
Muswada wa Fedha(Finance Bill) ikishapitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais wa JMT inakuwa Sheria.
Kwahiyo kila Matumizi yatakayofanywa yanakuwa ni Kwa mujibu wa sheria na ndivyo ilivyokuwa hadi Mzee Kikwete anamaliza muda wake.
Ilipoingia awamu ya 5 ndio tukaanza kusikia Wabunge wanamshukiru...
Kutizama taarifa za habari huko Nairobi, serikali ya CCM pia inajifunza mambo mengine muhimu kutoka kwa maandamano ya vijana wa Kenya, kama vile:
1. Umuhimu wa kujenga usawa na uwazi katika mifumo ya kisiasa na kijamii. Vijana wanaona kuwa mfumo uliopo sasa hauko sawa na unapunguza fursa zao...
Kizazi kipya cha waandamanaji vijana wa Kenya waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 kimeingia barabarani na kulazimisha serikali kubadilisha muswada wa wabunge uliopendekeza kodi ambayo haikuwapendeza watu wengi nchini Kenya, vijana hao walianzia TikTok,inafurahisha sana kuona vijana wa Generation Z...
Rais Ruto amegoma kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Hili limetokea baada ya maandamano yalikuwa yakiongozwa na Gen Z kufanyika zaidi ya wiki nchini humo. Ikulu imeripoti kwamba Rais Ruto anatarajia kuurudisha Mswada huo Bungeni kabla ya Bunge kuvunjwa baadaye leo.
Rais Ruto...
Vijana mumeitikisa nchi ikatikisika, mumenikumbusha enzi zetu wakati tulikua tunapigania demokrasia ya vyama viwili, na pia enzi za katiba mpya, ni faraja sana kujua nchi bado iko salama na kwamba hatokuja chizi yeyote na kuharibu tuliyoyapigania, na kwamba mkiitwa mnaitika na kujitokeza nchi...
Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja.
Huku kwetu wametuita Dodoma tena wametupa siku mbili, hamna anayeuongelea. Mwendo wa HS code kwenye muswada, wachumi wetu wako wapi...
1. Huko Kwa jirani pamoja na finance bill kupingwa Kwa maandamano kila kona Wabunge wameipitisha Kwa kishindo.
2. Muswada (finance bill 2024) unapelekwa kwenye Kamati, kisha uende Kwa Mhe. Dr Rais William S. Ruto
3. Tuna ya kujifunza hapa?
---
Despite widespread protest in the country, the...
Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana.
Omondi alifika nje ya geti la Bunge la Kitaifa akiwa amepanda farasi, kuiga maafisa wa polisi waliokuwa wakipiga doria kati...
Mbunge kutoka Mberee Kaskazini, bwana Geoffrey Ruku amewasilisha Bungeni, muswada utakaowezesha Wakenya kufungwa kwa mwaka mmoja, faini ya Tsh. 2,000,000 (Ksh. 100,00) au vyote kwa pamoja kw awakenya watakaoandamana bila ya kuwa na vibali stahiki.
Kulingana na mswada huo, taarifa ya maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.