Na Joseph Mahumi na Peter Haule, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026, unaolenga kuweka mfumo bora wa usimamizi wa mikopo inayotolewa kwa kutumia mali zinazohamishika kama...