Tatizo kubwa sana la CCM ni kuwapa vyeo watoto wa viongozi kama bakhshish , ili kuendeleza na kulinda hujuma walizofanya Wazazi wao za kuitafuna Nchi .
Huyu Diwani wa Kawe anayeitwa Mutta ambaye ni mtoto wa Mfadhili wa CCM Marehemu Getrude Lwakatare , hana kipawa cha uongozi , amelazimishwa tu...