muuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  2. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  3. Nusura niwe muuaji!

    Ukimfanyia mtu ubaya, jitenge naye, hata kama anaonekana mpole na mnyonge. Moyo wa mtu ni kama kichaka; huwezi kujua anachoficha. Hii ni moja ya kumbukumbu mbaya sana maishani mwangu – moja kati ya mbili zilizonikumba. Kuna mradi niliopanga na Frank, tulipanga vizuri na mipango ikaonekana...
  4. Mfahamu muuaji mdogo zaidi kuwahi kutokea duniani

    Akiwa na umri wa miaka kumi tu tayari alikuwa ameshauwa watu watatu na cha kushangaza zaidi mmoja kati ya hao waanga mmoja alikua ni dada yake wa tumbo moja. NI NANI HUYO. Kwa majina anafahamika kama Amarjeet Sada kijana aliyezaliwa mwaka 1998 huko nchini India katika familia ya kimasikini...
  5. Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku. Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo Rais anaheshimika kama Mungu Nchi Pekee duniani iliowahi...
  6. Muuaji aamua kujimaliza

    TAHADHARI‼️ (Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia). Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine...
  7. Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

    Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe. Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
  8. Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

    Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao. Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui...
  9. Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  10. U

    Kisa cha Muisrael aliyeuawa na wasiojulikana, wengi walituhumiwa, alipofufuka alimtaja kaka yake kuwa ndiye muuaji wake, ukweli Mungu ndiye anayejua

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
  11. P

    Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  12. Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  13. Kijana wa Kinyarwanda anashutumiwa kwa mauaji UK

    Kufuatia mauaji ya watoto watatu nchini UK kwa kuchomwa visu mchana kweupe mjini Liverpool Kijana Axel Rakubana aliyezaliwa na kukulia Wales nchini Uingereza atajwa kama muhusika mkuu --- A 17-year-old boy who is charged with the murders of three girls killed in the knife attack at a Taylor...
  14. Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  15. Wakatoliki radicals wanatia aibu katika tuhuma za paroko muuaji sakata la Asimwe, wanahitaji kukataliwa

    Baadhi ya wakatoliki wanatia aibu sana katika hili sakata la anayedaiwa ni paroko kukamatwa kwa shutuma za mauji ya binti albino Asimwe. Maoni yao hao wakatoliki naoweza kusema ni "radicals" yanatia kichefuchefu na kuonyesha jinsi gani dini bila kujali ni ya upande gani inavyoweza kutafuna na...
  16. Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu

    ..
  17. Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

    "Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
  18. Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  19. Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  20. Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

    Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote. Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania. It is what it is, it pains but swallow it the hard way...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…