Wakati Jeshi la Polisi likisema linafuatilia mawasiliano ya mwisho na watu aliokuwa akiwasiliana nao Muuguzi wa KCMC, Lenga Masunga (38) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha hivi karibuni, familia yake imesema itatumia taratibu zake za kimila kujua ndugu yao huyo yuko hai au amefariki...