muuza duka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  2. G

    Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  3. Muuza duka

    Nahitaji mfanyakazi wa kuuza dukani Duka dogo kabisa la REJA reja Awe mwanamke Umri kati ya miaka 15 na 23 Atalala hapo hapo Mshahara 90,000 Anahitajika haraka sana (0655 489 483
  4. Njombe: Muuza Duka Auwawa na Bosi Wake Kisa Kusababisha Hasara ya Shilingi elfu Hamsini

    Polisi wamesema wanamshikilia mwenye duka Hilo bila kumtaja Kwa madai ya sababu za kiuchunguzi. ==== A woman named Faraja Bembela, 28, a resident of Lusisi village in Tanzania and a grocery attendant, has been killed by her employer. Njombe Regional Police Commander Mahamoud Bang stated that...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…