Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf.
Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane.
Nawasilisha.
Kama mada tajwa hapo juu ilivyo
Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa
Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:-
✓ Kutalakiana kwenye ndoa.
✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo.
✓ Kupoteza ajira.
✓...
Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano.
Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga na kuruhusu hela yake iwe Kati mauzo ya mtoa huduma bila kurudishwa. Ni mkataba wa huduma au bidhaa...
Habari za muda huu wadau.
Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu.
SIFA
Awe na ADO
Awe mwaminifu
Awe mwadilifu
Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi
Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora
Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa
Mawasiliano
0620860602
0621601703
0744200166
0764601703
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba.
Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
Tumshukuru Mungu, Hakuna kinacho shindikana mbele zake.
Anahitajika Muuzaji wa DLDM, sifa zifuatazo.
1.Awe binti/Mwanamke
2.Umri chini ya miaka 23.
3.Awe amehudhuria mafunzo ya ADDO na awe cheti.
4.Awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini.
Bonus.
1.Sehemu ya Kulala
2.Chakula cha Mchana...
Eneo la Kazi ni Kibiti Pwani, awe msichana anayeweza kufanya kazi kt mazingira ya kijijini kidogo. Biashara ni ndogo na inaanza ila kwa eneo lilivyo baada ya muda mfupi nategemea matokeo makubwa. Akiwa mkristo ni lazima ahudhurie kanisani, na akiwa muislamu hali kadhalika.
Mshahara kwa kuanza...
Habari za muda wadau,
Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi.
Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
Salaam wanaJF!
Kama "taito" inavyojieleza, naomba kufahamu wapi, namna gani, na kwa bei gani naweza kupata Pool table.
Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba aniongoze. Nipo mkoani.
Wasalaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.