muuzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

    Nahitaji fundi wa kunifungia sub meter ile ya kuweza kutumia umeme wangu peke angu... Nipo dar gongo la mboto... Mawasiliano njo pm chap
  2. Muuzaji wa simu mpya aina ya Infinix anahitajika

    Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
  3. Muuzaji wa pikipiki

    Kama mada tajwa hapo juu ilivyo Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
  4. Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  5. Muuzaji Mbegu za Kiume aongeza Soko, ana watoto 550

    Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano. Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
  6. Vitu vya promotion sio ziada. Ni namna ya muuzaji kuokoa hasara. Na mtumiaji kupata nafuu kwa mahitaji ya muda Fulani

    Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga na kuruhusu hela yake iwe Kati mauzo ya mtoa huduma bila kurudishwa. Ni mkataba wa huduma au bidhaa...
  7. Anahitajika Muuzaji wa Duka la Dawa Muhimu (DLDM)

    Habari za muda huu wadau. Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu. SIFA Awe na ADO Awe mwaminifu Awe mwadilifu Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa Mawasiliano 0620860602 0621601703 0744200166 0764601703
  8. Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  9. AJIRA: Anahitajika Muuzaji wa DLDM

    Tumshukuru Mungu, Hakuna kinacho shindikana mbele zake. Anahitajika Muuzaji wa DLDM, sifa zifuatazo. 1.Awe binti/Mwanamke 2.Umri chini ya miaka 23. 3.Awe amehudhuria mafunzo ya ADDO na awe cheti. 4.Awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini. Bonus. 1.Sehemu ya Kulala 2.Chakula cha Mchana...
  10. L

    Muuzaji wa duka la dawa anatakiwa

    Eneo la Kazi ni Kibiti Pwani, awe msichana anayeweza kufanya kazi kt mazingira ya kijijini kidogo. Biashara ni ndogo na inaanza ila kwa eneo lilivyo baada ya muda mfupi nategemea matokeo makubwa. Akiwa mkristo ni lazima ahudhurie kanisani, na akiwa muislamu hali kadhalika. Mshahara kwa kuanza...
  11. Kijana muuuza chips anahitajika Mbagala

    Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
  12. Naomba Connection ya Wakala/Muuzaji wa PoolTable

    Salaam wanaJF! Kama "taito" inavyojieleza, naomba kufahamu wapi, namna gani, na kwa bei gani naweza kupata Pool table. Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba aniongoze. Nipo mkoani. Wasalaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…