Muigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years.
Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii inajulikana kama "The Movie you will never see".
Ikitabiri namna ambayo dunia itakavyokuwa miaka 100 ijayo...