Habari wakuu, mada hapo juu inahusika.
Nina mdogo wangu ana Miaka 23 wa Kiume amekutwa na Ugonjwa wa Ajabu wa kuwashwa mwili mzima. alienda Hopsitali wakamwambia ni Mzio yaan aleji ambayo ilisababishwa na Ile dawa ya Mbu ya Kupaka.
Walimpa dawa za aleji akatumia amepona japo kwa sasa amekuwa...
Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Habari Ndugu,
Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
Habari wajuvi, mimi ni mhanga wa vipele na muwasho kidevuni hapo awali nilikua nanyoa na kiwembe baada ya kunyoa hutokwa na vipele vingi sana hata kama nikitumia after shave
Nikashauriwa kutumia magic powder tatizo likaisha ila kinachonisumbua kwa sasa nikifuga ndevu zaidi ya wiki moja kidevu...
Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua.
Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
Habari ndugu wanajukwaa,
Nauliza ukiachilia mbali kuvumilia mpaka muda fulani vipoe na usiwashwe au kupaka mchanga majivu na mbinu nyingine za kawaida je, kuna dawa ya vitu vinavyowasha kwa mfano upupu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.