Wadau habari zenu nimerudi tena, ndugu yenu nimepata zari wakubwa.
Nimepata chance ya kufundishwa production ya mziki na producer mkubwa sana tu hapa bongo kama nilivowaambiaga nna tatizo la bipolar ila mziki ni kitu ambacho nimekifanya kwa mda mrefu bila kujali tatizo hilo tofauti na harakati...