muziki tanzania

Muziki wa dansi (in Swahili: "dance music"), or simply dansi, is a Tanzanian music genre, derivative of Congolese soukous and Congolese rumba. It is sometimes called Swahili jazz because most dansi lyrics are in Swahili, and "jazz" is an umbrella term used in Central and Eastern Africa to refer to soukous, highlife, and other dance music and big band genres. Muziki wa dansi can also be referred to as Tanzanian rumba, as "african rumba" is another name for soukous.
Muziki wa dansi began in the 1930s in the Dar es Salaam area (where most dansi bands come from),and it is still popular in Tanzania, although new generations are more likely to listen to bongo flava or other forms of pop music. Notable dansi bands include DDC Mlimani Park, International Orchestra Safari Sound, Juwata Jazz, Maquis Original, Super Matimila, and Vijana Jazz.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Wiki hii nimekuja kugundua kuwa album za JOSEPH ya Prof J na Ubinadamu Kazi ya Nature zinatimiza miaka 20

    https://youtu.be/wlpmV-HGfm8?si=pEnrrh0GQ5kRHKLm https://youtu.be/tFpxL4dinYs?si=Vs2941r-Me7SI5AN
  2. Financial Analyst

    Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
  3. Waufukweni

    Muonekano rasmi wa Tuzo za Muziki Tanzania 2024

    Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
  4. Black Butterfly

    TBT: Kati ya P Funk, Mikka Mwamba, Master J na Bony Luv, Mtayarishaji gani alikuvutia kwenye kazi zake enzi hizo?

    DJ Bonny Luv(kushoto) akiwa na Ahmir Khalib Thompson aka QuestLove Drumer kutoka kundi la The Roots.QuestLove ni DJ,Producer,mwandishi wa muziki nk.Miongoni mwa artist maarufu ambao amewahi kuwarekodi ni kama vile Common na D’Angelo. Usisahau kwamba Bonny Luv ni Producer hatari akifanya kazi...
  5. lugoda12

    Wadau wanakumbuka kweli mchango wa Mr. Nice kwenye kuikuza Bongo Flavour?

    Hivi watu wanakumbuka mchango wa huyu mwamba katika Entertainer ya bongo flavor au ndio kila mtu ale urefu wa kamba yake?! 😂 Wanamuita Lucas Mkenda au “Mr Nice” #Legendary
  6. sinza pazuri

    Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

    Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza. Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment. Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
  7. sinza pazuri

    Taji Liundi: Tumshabikie Diamond kama mungu mdogo

    Taji Liundi Diamond Platnumz Akizingumza na vyombo vya habari mtangazaji na msema chochote maarufu Dar es Salaam Taji Liundi amesema Diamond anatakiwa kushabikiwa kama mungu mdogo. Ameyasema hayo akisisitiza support kwa diamond na kuappreciate juhudi anazofanya. Watanzania wamekusikia bro...
  8. Cute Wife

    Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

    Wakuu, Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani? Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba...
Back
Top Bottom