Nilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia.
Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae Tamasha kisha Kiingilio chote kikamsaidie Mzee wetu huyu. Nina uhakika hata baadhi yetu hapa wenye Mioyo myepesi mkipandishiwa...
Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi.
Na mtangazaji nguli Mwanaethnomusicologist wa TBC taifa Masoud Masoud awe mkurugenzi mkuu wa Makumbusho hiyo.
Tutakuwa tumeitendea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.