muziki wa kikongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mia saba

    Wapenda nyimbo za Kikongo (Slow Rhumba) karibuni tuburudike na muziki mzuri

    Wanasema Afrika Kongo ni nyumba ya mziki mzuri, nahisi hii imethibitishwa. Tupe jina la msanii na nyimbo alizoimba tuburudike, mimi nitaanza: 1. Franco Luambo - orodha ya nyimbo zote 2. Papaa Wemba - Yolele 3. Oliver - Bane Karibuni wakuu. Mziki wa Kongo ni mziki wa watu wazima, watu akili...
Back
Top Bottom