Ni Magufuli tena.
Tukio hilo la kihistoria la kushushwa kwenye maji kwa meli hiyo inayojengwa katika Bandari ya Mwanza Kusini litaongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huduma ya Meli nchini (MSCL), Eric Hamissi amewaambia waandishi...