Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika.
Hatua hiyo kwa namna moja au nyingine inaikosesha Serikali mapato yatokanayo na shehena ya mizigo kutoka...