Mwenyekiti wa Bodi ya Tasac, Profesa Thadeo Sata, alitoa taarifa hiyo alipozungumza na waaandishi wa habari baada ya kukamilika kwa ziara ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa meli hizo zinazotegemewa kuanza safari mwezi Machi, 2020. Prof. Sata alisema lengo la ziara hiyo iliyoongozwa na uongozi...