mvinyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. balimar

    Ualimu kazi iliyotukuka zaidi. Mvinyo mpya Kiriba kipya

    Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu. Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
  2. Mwande na Mndewa

    Tukubali mvinyo kwa wachache au maji kwa wengi?

    TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!? Leo 14:40hrs 20/08/2022 Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku mitaani kuna kizazi kilichopevuka kinachohoji mambo ya msingi ambayo sisi hatuyaoni au tunayaletea...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je Biblia inapoongelea MVINYO na DIVAI inamaanisha nini? Je DIVAI na MVINYO vinaeitwaje kwa Kingereza?

    Muujiza wa kwanza alioufanya Yesu ulikuwa ni kubadili maji kuwa divai. Yesu alikuwa anagonga maji mazuri, ndio maana mara kadhaa kuwa walimwita mlevi, lakini walokole wanabisha wanasema eti Yesu alitengeneza juice. Sasa nataka waje wasome hapa Luka 7:31-50 BHN Yesu akaendelea kusema, “Basi...
  4. LIKUD

    Video: Mrusi akipiga mvinyo kusherehekea ushindi wa kivita (millitary victory) dhidi ya Ukraine

    Wanapiga mvinyo Kwa kwenda mbele. # Putin mbele Kwa mbele
  5. The Eye

    Biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu

    Wakuu habari zenu... Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu... Mtaji Vifaa Upatikanaji wa mazao Jinsi ya kutengeneza Kuhifadhi Soko lake... Karibuni kwa michango yenu wakuu
  6. Kulwanotes

    Historia fupi ya Mvinyo

    Historia inaonyesha 'ustaraabu' wa binadamu ulianzia Mesopotamia—Iran ya leo—miaka elfu kadhaa iliyopita [yakadiriwa ni miaka 8,000 iliyopita]. Hawa ndio walianza kufuga wanyama kama mbuzi na kulima nafaka kama ngano. Lakini pia hawa ndio walianza kutengeneza pombe kutokana na nafaka. Na pombe...
  7. Swahili AI

    Mvinyo wa Jack Daniels uligunduliwa na Mwafrika

    Ukitazama vyema picha hii, utagundua kuna mtu mmoja tu mweusi (Muafrika). Huyo ndiye Nearest au “Master Distiller” kwa jina maarufu. Alizaliwa wakati wa utumwa mnamo huko nchini Marekani 1820. Huyu bwana ndio mwalimu aliyemfundisha Jack Daniels jinsi ya kuchakata mvinyo huo. Ilikuwaje? Jack...
  8. S

    Usindikaji wa mvinyo au (WINE)

    Habari zenu waheshimiwa, poleni sana na majukumu kidunia na kitaifa ndugu zangu mimi ni mjasiriamali mdogo hapa tanzania niko katika harakati za kujikwamua katika maisha hivyo nimeanzisha kamladi kangu kakutengeneza mvinyo wa zabibu au (RED WINE) Hivyo naombeni msaada wa kimawazo na maelekezo...
Back
Top Bottom