Historia inaonyesha 'ustaraabu' wa binadamu ulianzia Mesopotamia—Iran ya leo—miaka elfu kadhaa iliyopita [yakadiriwa ni miaka 8,000 iliyopita]. Hawa ndio walianza kufuga wanyama kama mbuzi na kulima nafaka kama ngano. Lakini pia hawa ndio walianza kutengeneza pombe kutokana na nafaka. Na pombe...