mvp

  1. Waufukweni

    Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

    Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji. Wanaomfuatia Jean Charles Ahoua ni Clement Mzize na Prince Dube ambao wote wana magoli magoli 10 kila mmoja. VINARA wa...
  2. SAYVILLE

    MVP Jeah Ahoua au muite "Slow Motion"

    Huyu dogo nimemsema na bado naamini anahitaji aongeze baadhi ya tuvitu katika kabati lake la zana ila kuna jambo moja amefanya ambalo linaenda kuigwa na vijana wengi. Naongelea upigani wake wa penati. Pamoja na kwamba yeye siyo wa kwanza kupiga penati vile ila upigaji ule ni "signature" yake...
  3. Mkalukungone mwamba

    Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024

    Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024 ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita. Wote...
  4. NALIA NGWENA

    Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

    Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
Back
Top Bottom