Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
"Endapo bado hujaelewa tofauti kati ya wavulana na wanaume, hapa kuna mifano michache inayohusu mahusiano ya kimapenzi:
- Mvulana: hutumia wanawake kujenga kujiamini.
Mwanaume tayari ana kujiamini.
- Mvulana: hupenda 'kudate' tu na mwanamke anayemvutia.
-Mwanaume: humualika kwenye miadi...
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga
Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa.
Lakini hawajuani majina halisi.
Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
Habari zenu wanajukwaa
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje kumsaidia huyu kijana wa kiume aliyesahaulika.
Na kwa sasa hivi hata nyinyi wazazi mtakuwa mashuhuda...
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho
2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika
3...
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema...
Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili.
Niliweka binti wa kazi...
Kuna kipindi nlisoma kijana mmoja humu ambaye ana jinsia ya kiume akilalamika na kutaka msaada kwa wanajamii kuhusiana na kushikwa shikwa makalio na kutongozwa na mwalimu wake wa kiume chuoni.
Kama week mbili hivi sikuweza kula kabisa... Nlijawa na hasira sana... Nlikuwa natetemeka tu kwa...
Wewe ni Mvulana au Mwanaume.?
Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo.
Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi.
Jamii ya sasa inajaribu...
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.
Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.
Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.
Leo nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.