mvutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Mvutano waongezeka baada ya mwanaharakati wa Molo kuuawa

    Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno, anayejulikana kama "Rais wa Molo," alishambuliwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake, takriban mita...
  2. Waufukweni

    Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  4. Tlaatlaah

    Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  5. Zanzibar-ASP

    Mvutano wa NHIF na watoa huduma za afya ni kaburi la afya za Watanzania wengi

    Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana. Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini mwisho wa siku afya za watanzania zinakwenda kupuputika vibaya. Ni kweli NHIF inazilipa fedha nyingi...
  6. L

    Maadhimisho ya Diplomasia ya Ping-Pong ni ukumbusho kwa Marekani kuchukua hatua kuondoa mvutano katika uhusiano na China

    Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia busara na msukumo wa tukio hilo la miongo kadhaa. Wataalamu wa China wanaamini kuwa, tukio hilo sio tu...
  7. L

    Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  8. BARD AI

    Video: Vuta Nikuvute ya Halima Mdee, Spika Tulia na Patrobas Katambi kuhusu Mkataba wa DP World na Serikali

  9. Andazi

    Huu mvutano wa wanaume na wanawake tuumalize

    Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe WANAUME: Mademu wanazungua majukumu ya baba zao wanatupa sisi hata umpende vipi hawapendeki Kuna thread moja bidada...
  10. Sildenafil Citrate

    Zitto Kabwe: Kuna Mvutano Mkubwa kati ya Wakulima na wafugaji Mkoani Lindi na Tunduru

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa. Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
  11. BARD AI

    Wakili Kibatala na Mbunge Hawa Mwaifunga wazua mvutano mzito Mahakamani

    Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho. Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
Back
Top Bottom