mvuto wa mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mvuto wa Mwanamke una Unabebwa na Nguzo Zipi Muhimu?

    Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao. 1.1 Sura (nzuri au mbovu) 2. Rangi. (Mtume au jehanamu) 3. Harufu (kunukia au kunukia) 4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata) 5. Nywele ( Malaika au Kibwengo) 6. Original look au artificial saana...
  2. Upekee wa Mwanamke ni chuchu embe na sura nzuri

    Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
  3. Mvuto wa mwanamke hupungua kadri muda unavyozidi kwenda

    Mapenzi kitu cha ajabu sana, wataalamu wanasema hata ungeukuwa mzuri kama miss dunia, hata ungekuwa mzui wa pekee yako dunia nzima, ila kadri unavyozidi kuishi na mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wa kawaida kwake! Yaani ule uzuri wako unaanza kuwa wa kawaida mbele yake. Lile umbo lako linaanza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…