Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.
Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo.
Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili usisahau.
Soma=> News Alert: - Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha Wanasheria, sijui kwanini waliamua kukiua.
Bali sasa Ujio wa Boniface Mwabukusi kwenye uongozi wa Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.