mwabukusi na urais wa tls

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwako Boniface Mwabukusi, hongera kwa kushinda. Usisahau kauli zako za kishujaa

    Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society. Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo. Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili usisahau. Soma=> News Alert: - Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
  2. Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?

    Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha Wanasheria, sijui kwanini waliamua kukiua. Bali sasa Ujio wa Boniface Mwabukusi kwenye uongozi wa Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…