Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana...
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.
Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la...
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.
Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe Maramoja. Usalama wa Wakili Mwenzetu na wote waliokamatwa ni kipaumbele chetu.
Pia soma=> Lissu...
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa...
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma.
Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na wizi wa kura.
Dp world ilishamchafua Rais Samia.
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni.
Nimeogopa sana 🐼
Sabato Njema 😄...
Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
Pia soma:Boniface...
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye...
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.
Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.
Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini.
Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa...
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)
Kwamba Lissu atashinda 2025?
Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
Soma=>...
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.