Mwabukusi anasema aliadhibiwa kwa kwenda kinyume na maadili sababu ya kuwakosoa viongozi wa juu kwenye mkataba wa DP World, kuwa mkataba unaoiba rasilimali za tanganyika kiyume cha sheria.
Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kamati kufafanya maamuzi ya...
Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS.
Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS
Ikumbukwe Mwabukusi alifikishwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.