mwafunzi auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analog

    Kagera: Mwanafunzi auawa, mwili watupwa kichakani

    Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Kilima wilayani Bukokaa, Elius antony(13), anadaiwa kuuawa kwa kukatwa na panga shingoni kisha mwili wake kutupwa kichakani. Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera Blasius Chitanda, amesema uchunguzi unaendelea kubain chanzo cha mauaji hayo...
Back
Top Bottom