mwai kibaki

President of Kenya from 2002 to 2013. died on 4/22/2022
Reason of death

Emilio Stanley Mwai Kibaki (15 November 1931 - 21 April 2022) better known was Mwai Kibaki, was a Kenyan politician who served as the third President of Kenya from December 2002 until April 2013.
He had previously served as the fourth Vice-President of Kenya for ten years from 1978 to 1988 under President Daniel arap Moi. He also held cabinet ministerial positions in the Kenyatta and Moi governments, including time as minister for Finance (1969–1981) under Kenyatta, and Minister for Home Affairs (1982–1988) and Minister for Health (1988–1991) under Moi.Kibaki served as an opposition Member of Parliament from 1992 to 2002. He unsuccessfully vied for the presidency in 1992 and 1997. He served as the Leader of the Official Opposition in Parliament from 1998 to 2002. In the 2002 presidential election, he was elected as President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  2. KWELI Rais Mwai Kibaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa ana mke mmoja tu

    Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kujua uhalisia wa Kipande cha video kinachomuonesha aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki akizungumza na vyombo vya habari kwamba ana mke mmoja tu kama ni cha kweli au kimetengenezwa.
  3. Plot4Sale Mikocheni: 5th Plot off Mwai Kibaki Road Inauzwa - Dar

    • Direction: Chama • Survey: skwata • Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200 • Document: Leseni ya Makazi • Price: TZS milioni 350 . ✓ eneo linachipukia ujenzi wa majengo ya kisasa kama: kanisa apartments, hospitali, kituo cha mafuta, nyumba (standalone), n.k . Call/Watsap: 0767 15 77 88 . In real...
  4. Anayedai kuwa mtoto wa Mwai Kibaki afungua Shauri Mahakamani

    Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama mwanafamilia na mrithi wa sehemu ya ardhi inayoripotiwa kuwa na thamani ya Mabilioni ya Shilingi Katika shauri hilo Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha...
  5. L

    Dada wa Mwai Kibaki na mwanae : Nini siri ya kufika umri huu

    Mtu na mwanae wote wazee
  6. Mazishi ya Mwai Kibaki: Ni muhimu kuhudhuria!

    MwanJumui wa Africa Rais Mstaafu Mwai Kibaki tutakukumbuka daima. Hasa Thika Super highway na elimu bila malipo.
  7. TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…