mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kuanzia mwaka 2040 arusha itakuwa na wazee wengi wa hovyo

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  2. Profesa Ndakidemi atimiza ahadi yake,aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne Kata ya Kimochi mafuriko ya April 25 mwaka huu

    Profesa Ndakidemi aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Kata ya Kimochi MOSHI Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ametimiza ahadi yake baada ya kuipa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya...
  3. Michezo inaahirishwa, Timu zinaathirika, Lakini zaidi ya mwaka Hakuna ukarabati wa maana unaoonekana uwanja wa Mkapa

    Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
  4. W

    Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

    Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
  5. Mwaka 2004 ndani ya SCANIA mayai

    SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana. MOja nilikuwa nayo mimi tank.. Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank, Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha PEPSI.. Baada ya hapo unaanza kupiga shimo,,,ndani uko peke yako....ndio watu wachache tulioanza...
  6. Wazee wa mwaka 2070 hali itakavyokuwa pindi watakapo kuwa wanasimulia wajukuu zao enzi za ujana wao

    😆 Just imagine sasa hivi umri ulionao mwaka 2070 utakuwa na miaka mingapi? Kizazi cha 1990 mpaka 1999 ndio watakuwa wazee wa busara 😀 HALI ITAKAVYOKUWA Enzi zetu kulikuwa na msanii anaitwa Meja kunta na Man fongo wakali wa singeli nyinyi watoto wadogo hamjui kitu Enzi zetu Raisi wa Yanga...
  7. Nina mwaka mmoja na nusu sijafanya uzinzi

    Je Wajua? KISANGATI - Ni mtu mwenye tabia ya kutopenda kutumia na kutoa kilicho Chake Kwa wengine (Kwa mujibu wa BAKITA) Wakuu ni mwaka mmoja na zaidi Sasa sijafanya Uzinzi/Uasherati na bado Niko poa kabisa! Kitu ambacho namshukuru Mungu kunipatia ni kutokuwa na tabia ya kupenda wanawake...
  8. Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

    Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004. Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji mwaka 2004 lililotambulika km East Afrika Coca Cola Pop Stars Talent Search Competition, ili ni...
  9. Nchi 10 Afrika zenye deni dogo zaidi la Serikali katikati ya Mwaka 2024

    Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living standards, and attract international investment. Countries with low debt loads gain from currency stability...
  10. Bodi ya mkopo elimu ya juu mwaka ujao nilipe tena?

    Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza. Tarehe 4/09 nililipa...
  11. Africa footbal league (AFL) imefikia wapi? Mbona mwaka huu haijachezwa

    Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC. Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii. Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini...
  12. Hamas wafanye Kama Fatah/PLO ilivyofanya mwaka 1982

    Mwaka 1982 kulikuwepo na vita Kali kati ya Fatah/ PLO ya Yasser Arafat na Israel ndani ya Lebanon. Fatah wakazungukwa na majeshi ya Israel ili wamalizww ndipo Fatah/ PLO wakaomba umoja wa mataifa uwasaidie waondoke ndani ya Lebanon. Ndipo umoja wa mataifa ukakubaliana na Israel isiendelee...
  13. Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  14. 🚨Yes Mwaka 1991 ndo Mitsubishi RVR anazaliwa huko Japan

    Ilipofika 2002 uzalishaji ukasimama wenyewe wanaita [production halt], Huu ni usimamishaji wa uzalishaji kutokana na kushuka kwa mauzo na kutopokea order mpya. Najua umejiuliza kwanini uzalishaji ulisimama, sababu Kwenye Biashara Kubwa mauzo yakianza kushuka na usipopokea order mpya [minimum...
  15. Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
  16. Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

    Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa. Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
  17. D

    Hivi Mzee Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madakatari wote waliohitimu mwaka husika?

    Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika. Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye...
  18. U

    Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

    Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581 Niwatakie sabato njema Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
  19. Computer ya IBM mwaka 1947: Wazungu wametoka mbali sana.

    Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
  20. Interior ya magari ya mwaka 1924 vs miaka 100 baadae 2024!

    Baadhi ya picha za interior ya magari ya miaka ya 1924. Na chini interior ya magari mengi ya huu mwaka 2024. Tofauti ya miaka 100 sio mchezo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…