mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. HERI YA MWAKA MPYA WA 2025

    Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
  2. M

    DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana. Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
  3. Ndio kwanza Januari 2, ila huu mwaka bora uishe tu

    Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani. Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025. Na wewe umepigwa...
  4. Msaada tutani, hivi mwaka mpya unaanza kuchakaa lini?

    Natafakari tu hapo Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa? Baada ya kulipa ada? Siku ya kuzaliwa CCM? Siku ya wajinga (1/4/2025) May Mosi? Embu wajuzi mtuambie?
  5. Jipige kifua mara tatu na kusema; mwaka 2025 nitafanya mambo yafuatayo:

    1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa; 2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi; 3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara; 4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu; 5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
  6. Tuwakumbushe Yanga, mwaka huu tumekataza kujieleza sana

    Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi. Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya. Wenzetu wakaamua kutuangushia gazeti la kurasa mbili. Halafu wanasema 2024 wamecheza mara mbili hatua ya makundi. Huu ni udanganyifu...
  7. Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  8. M

    Mwaka huu usiage kila mtu, washitukie umefika

    MWAKA HUU USIAGE KILA MTU, WASHITUKIE UMEFIKA. Karibu 2025 ! Bila shaka tayari umefanya tathimini kuangalia sababu nyuma ya kushindwa kwako katika baadhi ya malengo na inawezekana hujaona sababu hii YA KUAGA HOVYO. Sasa nikwambie KUAGA HOVYO ni kikwazo pia kikubwa cha kushindwa kwa sababu...
  9. Maisha ya mahusiano ya mapenzi niliyopitia mwaka 2024

    Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali Mwanamke wa kwanza; Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
  10. Unafikiri ni kwa nini ni muhimu mtu kusafiri safari ya "mbali" alau mara moja kwa mwaka?

    Dr. Napoleon Hill, anayesadikika kuwa alitumia kipindi kisichopungua miaka ishirini kutafiti sababu inayowafanya watu kufanikiwa na wengine kufeli, alikuwa na kawaida ya kuwashauri "wanafunzi" wake kuwa kama wanaishi mijini, basi wawe wanaenda vijijini alau mara moja kwa mwaka, na kama wanaishi...
  11. Mwaka 2025 uwe mwaka wa kuuthamini Uafrika wa mtu mweusi

    Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni na dhalili na vituko mbele ya jamii nyingine zilizoendelea. Mwaka 2025 uwe ni mwaka wa kujikubali...
  12. Nashukuru nimeanza Mwaka 2025 vizuri bila makandokando

    Leo asubuhi niliacha simu imezagaa zagaa bila kuifunga. Niliporudi nikakuta Afisa Upelelezi anaifanyia upekuzi wa kina bila kibali. Ikabidi nimtazame machoni kiwiziwizi kuona kama kuna chozi linalenga lenga. Sikuona chozi ila nikaona ni kama mtu anayevuta kumbukumbu fulani. Ikabidi nitoke nje...
  13. Mambo muhimu ya kufanya kwa mwanaume mwaka huu wa 2025

    NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako. 4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
  14. Kheri ya mwaka mpya 2025:Ninawaombea wagonjwa wote wanaohangaika na magonjwa sugu,Mungu awaponye.

    Wasalaam. Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
  15. Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

    Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume! Your finished my friend,huu...
  16. Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  17. Mwaka 2025 nawakumbusha shetani na mali zake anaaibisha, anaumiza, anatesa. Vijana tuendelee kuyatafuta maisha kwa jasho halali

    Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri. Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
  18. M

    Muislamu anaekesha mwaka mpya kumbi za starehe ili iwe nini?

    Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
  19. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  20. Ukifanya Mambo Haya 50 Utafanikiwa Sana Mwaka Huu

    Hakuna mtu asiyependa kufanikiwa kikazi, kielimu, kibiashara, kiafya, katika ndoa nk. Mwaka unapoanza watu wengi huwa wanajiwekea mipango na mikakati ili wapate mafanikio. Hapa nakuorodheshea mambo 50 yatakayokuwezesha kuona amani, baraka na mafanikio ukiyafanya. Mwishoni nitakueleza kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…