mwakinyo akamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi Tanga waeleza sababu ya kuendelea kumshikilia Bondia Hassan Mwakinyo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anaetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni mwizi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Jumatatu Machi 10,2025, Kamanda wa Polisi...
  2. Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga

    Kijana aliyefahamika kwa jina la Mussa Ally mkazi wa Sahare, Jijini Tanga amemtuhumu Bondia wa Ngumi nchini, Hassan Mwakinyo Kumshambulia kwa kisu, na kumfungulia mbwa wanne Majira ya saa 12 Alfajiri alipokuwa akiokota nazi zilizokuwepo barabarani katika mtaa wa Sahare Vijijini Soma Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…