mwakinyo hajapigana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Pambano la Mwakinyo dhidi ya Patric Allotey halijafanyika. Yadaiwa msimamizi wa mashindano hajafika, hapokei simu, anatafutiwa dola

    Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo Afrika. Promoters, matchmakers na bodi ya ngumi ilibidi wawe mstari wa mbele kukamilisha malipo hayo...
Back
Top Bottom