Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley.
Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...
Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..
Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...
Ahsante sana
Update::
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sema mood jau sana mi title sijaweka...
Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake .
Mada hapo juu yahusika .
Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa wabangaiza wenzangu, matajiri kaa mbali na andiko hili.
Wabangaizaji wenzangu mpo , popote pale...
Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako
Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀
Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.
Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk.
Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa.
Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee!
Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.?
Aisee umenifunza kitu.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")...
Wengi huombea wenzao...
Rapa Na Mfanyabiashara kutoka Marekani Sean “Diddy” Anadaiwa kuwa hatopokea Mualiko Wa kuhudhuria katika Onesho Kubwa La Mavazi Na Mitindo linalofahamika Kama "Met Gala"
Taarifa hizi ni baada ya rapa huyo kuwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono na tuhuma uuzaji wa madawa ya kulevya dhidi yake...
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican.
Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je, atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo!? Je...
Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam.
Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni...
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.
Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo.
Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.
Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.
Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa...
Hizi ni nyuzi special kuelezea akili za mtu mweusi, naanzia hapa.
Akili za mtu mweusi season1.
ep 01 :
Kuchangishana pesa kwenye raha binafsi za watu( hizi wanaita sherehe za harusi, ubatizo, birthday n.k )
* Kuna huu ujinga unaoendelea kwenye jamii zetu wa kuchangishana kwenye furaha binafsi...
Habali wakuu,
Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo.
Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko...
Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe.
Je, hakupata mwaliko au tatizo nini?
Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu.
Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.