KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA SONGWE YAKUBALI MWALIKO WA MBUNGE WA JIMBO LA MOMBA CONDESTER SICHALWE
Na. Mwandishi Wetu-Momba
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe Radwall Mwampashi leo tarehe 13 Julai 2024 akiwa ameambatana na Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa huo wameitika...