Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake .
Mada hapo juu yahusika .
Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa wabangaiza wenzangu, matajiri kaa mbali na andiko hili.
Wabangaizaji wenzangu mpo , popote pale...