SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.
Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA.
Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.
Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira...
Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana, uendeshaji wa mashtaka, kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake...
Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne.
Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto alimwalika yeye binafsi kwenye hafla ya kuapishwa lakini akasema hataheshimu mwaliko huo kwa vile...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh.
Hii ni ziara yake ya kwanza ya kutembelea India tangu alipoteuliwa kuiongoza Wizara hii Septemba 12, 2021.
Wakati wa...
Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya Ethiopia, kwenye Uwanja wa Mkapa, Jumatatu Agosti 8, 2022.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Harry alimwalika William na mkewe pamoja na watoto wake katika tafrija ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto Lili lakini William na familia yake hawakutokea kabisa. Inaelekea bado kuna mvutani kwenye hiyo familia ya kifalme.
Harry na mkewe ilibidi warudi US siku ya Jumapili baada ya kuhudhuria sherehe...
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi...
Ahlan wa Sahlan
Je, huu sio muda sahihi kwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutoa mwaliko kwa mabingwa wa soka nchini Tanzania, Simba sportive de club kujumuika nae katika Iftar ndani ya Ikulu hapo Dar es Salaam.
Heshima ambayo Klabu ya simba imeipagia...
NCCR Mageuzi imeungana na CHADEMA kugomea mwaliko wa Tume ya uchaguzi kuhudhuria hafla ya usomaji wa ripoti ya uchaguzi mkuu wa 2020.
ACT wazalendo bado wanatafakari.
CUF mhhh....
Mungu ni mwema wakati wote!
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya CCM mtapata manufaa gani ya kisiasa?
Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?
Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk...
Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...