The Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Swahili: Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere) is an award of the Tanzanian Honours System for retired presidents elected democratically. It is named after Julius Nyerere, the nation's first president.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
baba
baba wa taifa
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
jiwe
juliusnyerere
kuweka
muungano
mwalimumwalimujuliusnyerere
ndoto
nyerere
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
taifa
tanzania
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
Kati ya vitu ambavyo tutamkumbuka Mwalimu Nyerere ni ule u thinker wake. Mwalimu si tu alikuwa na maono ya kisiasa, lakini kiuongozi alikuwa kama mcheza chess. Mwalimu alikuwa na uwezo wa kufikiria mbele madhara au manufaa ya kile alichokuwa ana panga au kukipigia debe kisiasa.
Na ndio maana...
Yule Mzee Mkongwe na Gwiji la siasa l za Tanzania Mzee Sozigwa amefariki Dunia. Sozigwa alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto wa Mzee Sozigwa, Mchungaji Moses Sozigwa alisema tatizo la kwanza lililokuwa likimsumbua baba yao ni kupoteza kumbukumbu. Baadaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.