KYELA.
Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...