Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na...