mwalimu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Donnie Charlie

    Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

    Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni. Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
  2. Roving Journalist

    Shahidi: Mwalimu Mkuu anayedaiwa kumlawiti Mwanangu alimwambia 'ukisema nitakupiga nikuvunjevunje'

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Mwalimu Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam kutoka Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) imeendelea Februari 17, 2025, ambapo shahidi mmoja kati ya sita upande wa Jamhuri amekamilisha...
  3. Mkalukungone mwamba

    Simiyu: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya milioni 5 kwa kosa la kuwapa majibu wanafunzi

    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu katika mtihani la darasa la nne mwaka 2023. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Februari 2...
  4. Doto12

    Eti kila akifungua beer anasikia sauti ya mwalimu mkuu

    Milevi bana.. Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated. https://www.jamiiforums.com/threads/haki-itendeke-kesi-ya-mwalimu-wa-shule-ya-kingdom-heritage-banana-dar-kutuhumiwa-kumbaka-mwanafunzi-wa-darasa-la-saba.2277312/...
  5. Fortilo

    DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii👇 WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  6. Mzee wa Code

    DOKEZO Shule ya Msingi Kambarage - Dodoma haina Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu wengine, wanabanana kwenye chumba kidogo

    Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya Kambarage inayopatika ndani hya Jiji la Dodoma maeneo Vyeyula. Shule hii yenye Walimu 12...
  7. Kikwava

    WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Mwalimu mkuu ataja sababu vifo vya watoto sita bwawani, wanne wakizikwa

    Rorya. Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya umwagiliaji, Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wamezikwa kwenye eneo la pamoja katika kijiji hicho cha Ochuna. Hata hivyo, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ochuna...
  9. A

    DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Upendo, Mbezi Louis anatumia vibaya madaraka yake kwa maslahi binafsi

    Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu wengine, matusi, dharau na kashfa mbalimbali 1. Upangaji wa Walimu kwenye vipindi ni wa ovyo na usio na...
  10. Suley2019

    Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda, Vicent Nkunguu (39) kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo kisha kumnywesha sumu. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Machi 13, 2024, Kamanda wa Polisi...
  11. Dreamliner787

    Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    𝐋𝐞𝐨 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚. 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚𝐤𝐰𝐞𝐢𝐭𝐢𝐫𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐞𝐚𝐝𝐦𝐚𝐬𝐭𝐞𝐫 S𝐚𝐦𝐞 Sec 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐍𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 nyumbani 𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐦𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐃𝐂. M𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐃𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐑𝐂, 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐑𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐮𝐲𝐮. B𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚...
  12. Roving Journalist

    Mwalimu Mkuu aliyepewa fedha za TAKUKURU Afariki Dunia, yadaiwa amekunywa kimiminika chenye sumu

    Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu. Chanzo...
  13. W

    Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

    Ndo hivyo jamani! Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi. Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
  14. Boss la DP World

    DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

    Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu. Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
  15. Notorious thug

    Mussa Mangu ashinda rufaa ya kupinga kunyongwa kwa mauaji ya Erasto Msuya

    Habari wana jukwaa natumaini mpo salama! Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne. Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
  16. Roving Journalist

    HakiElimu yakemea tukio la ukatili wa Mwalimu Mkuu Kagera, yatoa mapendekezo kwa Serikali

    Mkurugenzi wa HakiElimu, John Kalage amesema tukio la mtoto wa Shule ya Msingi Kakanja, Wilayani Kyera Mkoani Kagera kuchapwa katika njia ambayo ilionekana ni ya kikatili limewasikitisha kwa kiwango kikubwa. Ameeleza tukio hilo lililotekelezwa na Mwalimu Mkuu wa shule husika ambapo picha za...
  17. Mkushi Mbishi

    Mwalimu Mkuu shule ya msingi Mavovo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ana tabia mbovu, hafai kuwa mtumishi

    .
  18. BAK

    Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

    MWALIMU WA KIKE APIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO MOROGORO VIJIJINI. WENZAKE WAMUOMBA ASKOFU MWAMAKULA ASAIDIE KUPAZA SAUTI ILI MAWAZIRI WENYE DHAMANA WASIKIE NA KUINGILIA KATI Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate! Tunapenda kukujulisha tukio la kusikitisha...
  19. nez-o

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Wadau, leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi aliamua kumvua cheo Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Chiwata tena mbele ya halaiki ya watu kisa kakosa hela ya kutoa harambee ya kuchangia maendeleo ya Kata. Mkutano huo ulikuwa umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

    Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi. Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua...
Back
Top Bottom