mwalimu mwakasege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Mkutano wa injili wa Mwl C. Mwakasege leo mpaka tar 2 march uwanja wa mashujaa moshi karibuni live Upendo tv saa tisa mpaka saa 12

    WAPENDWA katika Bwana Nawakaribisha ktk mkutano WA injili utakaonenwa na Mwl C. mwakasege Kuanzia saa Tisa mpaka saa kumi na mbili jion Kuanzia Leo tar 26 Feb mpaka 2 march Itakuwa live upendo tv ..upendo FM...na you tube Karibuni sana tuongeze Imani ktk maisha yetu Kiingilio:BURE Mungu...
  2. emmarki

    2025 ufanye nini? Kutoka kwa Mwalimu Mwakasege

    Salamu za Mwaka Mpya Wa 2025 Toka kwa Christopher Mwakasege 1. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Tunamshukuru Mungu sana, kwa kutupa neema yake ya kuingia katika mwaka huu wa 2025. 2. Mungu amekuwa akinisemesha juu ya mambo kadha wa kadha, yanayokuja...
  3. J

    Je, Mchungaji Kimaro anaweza kuanzisha Huduma yake bila kutoka KKKT kama alivyo Mwalimu Mwakasege?

    Nauliza tu kama hilo linawezekana kwa sababu mchungaji Dr Kimaro amekuwa ni hitaji la wanajamii wengi bila kujali madhehebu wala dini Enendeni Duniani kote mkahubiri Injili kwa kila kiumbe Marko:16:15-18 hili ndio agizo kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo Mbarikiwe sana!
  4. M

    Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho. Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana...
  5. J

    Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

    Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee. Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi Imani inaibeba Ndoa yenu. Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga...
  6. GENTAMYCINE

    Mwamposa hebu nawe iga huu Ustaarabu wa Mwalimu Mwakasege

    Mwalimu Mwakasege anaanza Ibada on time Saa 10 Kamili na Saa 12 Kamili kamaliza ( anamaliza ) Wewe ( Mwamposa ) unaanza muda usioeleweka na Kumaliza muda mbaya ( usioeleweka ) kiasi kwamba 95% ya Waumini wako hupata Adha Kubwa ya Usafiri na wengine kukosa Nauli na Kuturahisishia Masela ( Wahuni...
  7. goroko77

    Kelele kubwa katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Habari za mida, Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa...
  8. J

    Mwalimu Mwakasege kujenga Ukumbi wa kisasa wa Maombi jijini Dodoma utakatoa Huduma 24/7 na utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja!

    Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma. Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia...
  9. mugah di matheo

    Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

    Mwalimu Christopher Mwakasege yupo jijini mbeya toka tarehe 15/10/2020 akifundisha neno la Mungu lenye kichwa cha habari "Imarisha imani yako kuelekea msimu mpya" Binafsi nimebarikiwa sana Ungana nae kupitia upendo TV kwa azamtv na startime decorder ,mbarikiwe wana jamii forum. Mytake Hivi...
  10. J

    Uchaguzi 2020 Mwalimu Mwakasege awataka Watanzania kuibariki siku ya uchaguzi ili pasiwepo hila na udanganyifu

    Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote. Mwakasege amesisitiza kuwa maombi hayo ya baraka yahusishe siku 15 za mchakato yaani siku 7 kabla ya uchaguzi, siku...
  11. J

    Mwalimu Mwakasege: Dalili za Corona ni zile zile za magonjwa mengine tofauti yake Covid 19 imejaa Hofu kuu inayofanya wasio jasiri wajifiche

    Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu. Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na...
  12. J

    Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

    Mwalimu Mwakasege amesema wanadamu wanapaswa kujihoji ni wapi tumemkosea Mungu kisha tutubu na kumrudia. Mwakasege amesisitiza kuwa hii Corona siyo mpya bali ni ile Tauni iliyosemwa katika Biblia takatifu. Mwalimu Mwakasege amesema hayo wakati wa semina inayoendelea huko Njiro Arusha na kesho...
  13. Victor Mlaki

    Semina ya Mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege

    Semina hii ya siku moja inafanyikia katika ukumbi wa Diamond Jubilee na tayari watu wameshaanza kuingia kwa wingi ukumbini. Semina hii itakuwa live Upendo radio,upendo TV na kwenye internet.Usikose kushiriki umoja wenye maana.
Back
Top Bottom