Salamu za Mwaka Mpya
Wa 2025
Toka kwa Christopher Mwakasege
1. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Tunamshukuru Mungu sana, kwa kutupa neema yake ya kuingia katika mwaka huu wa 2025.
2. Mungu amekuwa akinisemesha juu ya mambo kadha wa kadha, yanayokuja...