"MWAMBA" MWALIMU NDOSI KENDE MALAMU!
"Mwalimu Ndosi alikuwa mwalimu wa hesabu. Alikuwa si mchezo. Alikuwa akikohoa tu wanafunzi wote mnakufa".
Bi JOYCE, Aprili 18, 2023
1. Wiki iliyopita, wanafunzi waliofundishwa na MWALIMU NDOSI, Mwalimu pale Muhimbili Shule ya Msingi, walimwambia "Mzee wa...