mwalimu wa kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwa waliopo Bukoba mjini au maeneo ya karibu anahitajika mwalimu wa kujitolea English literature

    Anahitajika mwalimu wa Literature in English shule ya MUMWANI sec (serikali) Kwa taarifa rasmi Mshahara ni laki2 pia makazi yapo. Kwa anayehitaji au kuna mhusika umamfahamu.tuwasiliane kwa 0623446608 nikupe maelekezo.
  2. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kujitolea atengeneza A 100 za hisabati katika shule ya sekondari ya kata

    Muhitimu wa kidato cha sita aliyeshindwa kujiunga na chuo cha ualimu kwa kukosa ada, Bernard Mwakajila ametengeneza ‘A’ 1OO za somo la hisabati katika shule ya Sekondari Kimara iliyopo Wilayni Ubungo mkoani Dar es Salaam. Mhitimu huyo, anasema aliingia katika shule hiyo kwa lengo la kusaidia...
  3. JamiiForums Tanzania Anahitajika Mwalimu wa Kujitolea kufundisha Shule ya English Medium

    Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike, awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II, hata chini ya hapo siyo mbaya. Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na Kiswahili, hasa kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha. Atajitolea miezi mitatu, then atapewa mkataba kamili, kipindi anajitolea atalipwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…