Alipita kwenye mikono ya Kameta, akapita UPTOWN RECORDS na baadaye akaja na studio yake, COMBINATION SOUNDS.
Nilianza kumsikia kwenye ngoma za msanii mmojammoja kama; Blue, Rhyno, Mb Doggy lakini kwa ukubwa zaidi, nilimfahamia kwenye midundo aliyomtengenezea ndugu yake, Nemo Mpute hapo ndipo...